Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Leticia Nyerere wa CHADEMA, katika hutoba yake fupi, aliwambia wana DMV kuhusu swala la mchakato wa katiba pamoja na uraia wa nchi mbili na haki ya kupiga kura, aliwataka wana Diaspora wa DMV wambane Rais wa Jumuiya ya Tanzania DMV Bwna Iddy Sandaly.
Pia mchumba wa Dr Slaa Mama Josephine Mushumbuzi alitoa hotuba fupi katika Mkutano wa CHADEMA DMV Siku ya Jumapili Sept 22, katika ukumbi wa Mirage uliopo Unirvesty Blvd. Langley Park. Maryland Nchini Marekani.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Leticia Nyerere CHADEMA, mchumba wa Dr Slaa Mama Josephine Mushumbuzi, katika mkutano wa Tawi la Chadema DMV
Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Leticia Nyerere CHADEMA alipokua akitoa hotuba fupi katika Mkutano wa CHADEMA DMV katika ukumbi wa Mirage uliopo Unirvesty Blvd. Langley Park. Maryland Nchini Marekani.
Hii ni Hotuba fupi ya Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Leticia Nyerere CHADEMA alipoongelea mchakato wa Katiba mpya na Uraia wa Nchi mbili, katika Mkutano wa CHADEMA DMV Siku ya Jumapili Sept 22, katika ukumbi wa Mirage uliopo Unirvesty Blvd. Langley Park. Maryland Nchini Marekani.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours